Benki nzuri kwa ajili ya kufungua account ya Biashara ni ipi?

Benki nzuri kwa ajili ya kufungua account ya Biashara ni ipi?

Amana Bank wako vzr zaidi
tembelea matawi yao upate muongozo.
 
Equity ndo taarifa ya habari,wapo fasta mpaka unashangaa wengine wanashindwaje!
 
Tueleze makato ya kutoa, kuangalia salio, statement, ya kila mwezi... faida yao kwa mwaka, tafadhali.
Equity wako vizuri sana,tembelea branch zao ama ingia kwenye website,nami ni mteja wao
 
Haya mabenki ya kibongo sijawahi kuyaamini, binafsi huwa naamini bank za nje tu.

Banks za ndani nazitumia kwa safari tu ili kupata urahisi wa kutoa kwa ATM,s.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Back
Top Bottom