Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BOT haiangalii amana za wateja inaangalia mtaji wa benki husika. Ukiwa na amana za kutosha lakini mtaji kiduchu utafungiwa tu.kwa kuziweka chini ya uangalizi watu wengi watatoa pesa zao na kuzifanya zikose sifa hivyo uwezakano mkubwa zitafungwa