Kengele imeshapigwa sasa, kila mwenye pesa zake aende faster kuchomoa pesa zake zote. Hakuna tena kulala hapo.
Na kama wewe ni mjanja zaidi(Mwizi??), kwa muda huu ndio wakati mzuri wa kwenda kuvuta mkopo kwenye hizo benki na kusepa zako maana hawataweza kuja kukufuatilia zaidi ikitokea wamefirisiwa.
Tahadhari nyingine kuu kwa watu wengine wenye pesa zao nyingi kwenye benki zingine ambazo ziko salama kwa sasa ni kuhakikisha salio la Akiba kwenye Akaunti benki halizidi 1.5milioni ili ikitokea zimefirisika basi unavuta mkwanja wako ukiwa vile vile.