Benki ya ABSA mbona mnachokitangaza maredioni si chakweli, basi kuweni sirias

Benki ya ABSA mbona mnachokitangaza maredioni si chakweli, basi kuweni sirias

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,192
Leo ilibidi nikathibitishe fursa wanazomwaga redioni hawa jamaa kua unapata credit card nk. Mara ooh wanapokea wanachuo kwa kuwapa fursa ya mkopo pale wanapohitaji kuanza maisha.

Kumbe daah, ukifika ofisini kwao jamaa wana conditions zinazowapendelea wao tu. Credit card hadi account yako iwe inaingiza kuanzia milion mbili,kila mwezi iwe inapitishia mishahara sasa nikawaza mwanachuo izo pesa anatoa wap aah ikabidi nirudi tu.
 
Leo ilibidi nikathibitishe fursa wanazomwaga redioni hawa jamaa kua unapata credit card nk. Mara ooh wanapokea wanachuo kwa kuwapa fursa ya mkopo pale wanapohitaji kuanza maisha.
Kumbe daah, ukifika ofisin kwao jamaa wana conditions zinazowapendelea wao tu. Credit card hadi account yako iwe inaingiza kuanzia milion mbili,kila mwezi iwe inapitishia mishahara nikawaza sasa nikawaza mwanachuo izo pesa anatoa wap aah ikabidi nirudi tu.
naungana nao umkope mtanzania hivi hivi si utafirisika. humu kuna thread nyingi za watu kujisifia jinsi wanavyokopa bila kulipa.
mtanzania ndiye kiumbe pekee anayeenda kukopa akiwa ana lengo la kutolipa.
 
Back
Top Bottom