Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
naungana nao umkope mtanzania hivi hivi si utafirisika. humu kuna thread nyingi za watu kujisifia jinsi wanavyokopa bila kulipa.Leo ilibidi nikathibitishe fursa wanazomwaga redioni hawa jamaa kua unapata credit card nk. Mara ooh wanapokea wanachuo kwa kuwapa fursa ya mkopo pale wanapohitaji kuanza maisha.
Kumbe daah, ukifika ofisin kwao jamaa wana conditions zinazowapendelea wao tu. Credit card hadi account yako iwe inaingiza kuanzia milion mbili,kila mwezi iwe inapitishia mishahara nikawaza sasa nikawaza mwanachuo izo pesa anatoa wap aah ikabidi nirudi tu.
Sasa matangazo yote yale ya nini?naungana nao umkope mtanzania hivi hivi si utafirisika. humu kuna thread nyingi za watu kujisifia jinsi wanavyokopa bila kulipa.
mtanzania ndiye kiumbe pekee anayeenda kukopa akiwa ana lengo la kutolipa.
Wale wanaotakatisha pesa kwakukopesha online kwenye viapp vyao wacha wapigwe tu.naungana nao umkope mtanzania hivi hivi si utafirisika. humu kuna thread nyingi za watu kujisifia jinsi wanavyokopa bila kulipa.
mtanzania ndiye kiumbe pekee anayeenda kukopa akiwa ana lengo la kutolipa.
ni matangazo kwa wenye vigezo na masharti kuzingatiwaSasa matangazo yote yale ya nini?
HahahWale wanaotakatisha pesa kwakukopesha online kwenye viapp vyao wacha wapigwe tu.
wanaweka riba kubwa ili watakaolipa wafidie wasiolipa. same kwa wanaotoa mikopo ya simu. mtanzania anachukua simu ya mkopo kesho speed kariakoo aiflash ili asilipe atumie tu.Wale wanaotakatisha pesa kwakukopesha online kwenye viapp vyao wacha wapigwe tu.
Hakuna uhalisia wowote kua wanapokea wanachuo wanaohitimu chuo kwa ma creditsni matangazo kwa wenye vigezo na masharti kuzingatiwa
matangazo tu mkuu matangazo huwa yanatia chumvi hata mimi nilisikia na nikajua haiwezi kuwa kweli umpe mtu mkopo wakati huna hakika kama atalipa.Hakuna uhalisia wowote kua wanapokea wanachuo wanaohitimu chuo kwa ma credits
Hahahwanaweka riba kubwa ili watakaolipa wafidie wasiolipa. same kwa wanaotoa mikopo ya simu. mtanzania anachukua simu ya mkopo kesho speed kariakoo aiflash ili asilipe atumie tu.
MI nilijikoki nikaenda afu mbali balaa na makazi yangu dah nimechoma naulimatangazo tu mkuu matangazo huwa yanatia chumvi hata mimi nilisikia na nikajua haiwezi kuwa kweli umpe mtu mkopo wakati huna hakika kama atalipa.
wangekupa credit card bila kuwa na hakika na mapato yako mkuu si wangekuwa malofaMI nilijikoki nikaenda afu mbali balaa na makazi yangu dah nimechoma nauli
Nilikua na kianzio mkuu kama miambili hiviwangekupa credit card bila kuwa na hakika na mapato yako mkuu si wangekuwa malofa
Kumbe wao lazma account iwe inaingia 2m.Nilikua na kianzio mkuu kama miambili hivi