Benki ya Akiba wazindua Waridi Akaunti kwa wanawake wajasiriamali

Benki ya Akiba wazindua Waridi Akaunti kwa wanawake wajasiriamali

MZALENDO TZ

Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
10
Reaction score
125
Meneja Mwandamizi wa huduma za kidijitali kwa Benki ya Akiba Bi. Magreth Mwasumbi akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI AKAUNTI " .Kulia wake Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora Saria.Uzinduzi huu umembatana na maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika hafla ndogo zilizofanyika katika ofisi za makao makuu ya benki Jijini Dar es salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora Saria akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI AKAUNTI ".Uzinduzi huu umeambatana na maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani katika hafla ndogo zilizofanyika katika ofisi za makao makuu ya benki Jijini Dar es salaam.


Picha ya Pamoja mara baada ya uzinduzi wa Huduma mpya ya AKAUNTI YA WARIDI ya wafanyazi wanawake wa Akiba Commercial Bank Plc katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo Machi 08, 2023 katika ofisi za makao makuu jijini Dar es Salaam.





Picha mbalimbali za matukio ya wafanyazi wanawake wa Akiba Commercial Bank Plc katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo Machi 08, 2023 katika ofisi za makao makuu jijini Dar es Salaam.

Picha mbalimbali za matukio ya wafanyazi wanawake wa Akiba Commercial Bank Plc katika maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo Machi 08, 2023 katika ofisi za makao makuu jijini Dar es Salaam.
 
Ushauri kwa bank jaribuni kuajiri wadada wasichana wachogo niliacha kwenda posta bank kwa sababu kuna wamama kibao. Halafu bank hii ina wazee mda wote ukifika kazi kutumwa tumwa 'eeh kijana hebu kalete ule mkongojo wa mzee pale chini'. "Hebu we kijana rudi nyuma ya mstari tuwahudumie wazee'
 
Back
Top Bottom