Benki ya Barclays mjue hivi mnavofanya mnahatarisha usalama wetu na kutupa mzigo

Mkuu usipende kujifanya mjuzi

Kwemu ni neno tunalotumia kilasiku limetokana na neno claim sasa sijui shida yako nini.
Kwa hio huko mtaani kwenu ukisema kwemu mtu anaelewa una maanisha claim sio?

Nilikua sijui mzee baba,lugha inakua sana.
 
Sasa kuna tawi lao humu? Au unataka tujue ulienda kuchukua m.12
Humu wanaweza kupitia mameneja wao wakaona hilo swala,jamiiforum ni pana sana ujue
 
Sasa kuna tawi lao humu? Au unataka tujue ulienda kuchukua m.12
Jaribu kuficha ujinga ndugu yangu. In case you didnt notice, Jamii forum kwa sasa ndio mtandao mkuu Tanzania. Ni juzi tu Mzee Melo kaitwa White House kapewa tuzo. Sasa ujue mambo yote yanayojadiliwa hapa huwa yanawafikia wahusika popote walipo Tanzania
 
[emoji3][emoji3]
 
Mkuu, Nina shida na noti za buku buku kama 5M lakini nataka noti mpya, ila sina account huko. Nikienda wanaweza kunipa?
 
Hivi karibuni niliambiwa huko noti za 1000 zilikua adimu sana kwenye mabenki. Sijui ndo BOT ndo njia wanayotumia kuziingiza sokoni?
 
Hivi karibuni niliambiwa huko noti za 1000 zilikua adimu sana kwenye mabenki. Sijui ndo BOT ndo njia wanayotumia kuziingiza sokoni?
BOT ndio wanabana,maana wao ndio wanacontrol mzunguko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…