Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Wakuu hawa jamaa ukitoa hela hawakupi noti za elfu 10 wanakwambia hawana na hii ni mara zote. Juzi tulitoa milion 12 tukapewa mabunda ya elfu 2 na elfu 5.
Leo tena ndo wameniacha hoi jamaa yangu katoa milion 10 kapewa mabunda ya buku buku. Yaani katoka utafikiria kabeba milioni mia moja kumbe milioni kumi tu. Mtu unaweza kuvamiwa hivi hivi kwa hela chache tu. Acheni hizo.
View attachment 1282296
Hapo ndio mwendo kutoka kwa mkulu JIWE kwamba ya kwamba na kuongeza ya kwamba nyingine, mtaita buku elfu moja
au wazee wa bando wanasema "IJUE NGUVU YA BUKU"