Karibu na mazingira ya Shule ya Secondary Joketi Mwegero iliyoko Halmashauri ya wilaya ya kisarawe, mkoa wa pwani, hakuna Benk wala wakala wa CRDB kiasi kwamba wazazi tunakosa njia rahisi naya uhakiki kuwatumia watoto hela?
Mnakwama wapi?
Hiyo no fursa sasa hapo unachopaswa ni kuichangamkia na kufungua huduma za uwakala upige pesa.
Tena hapo unafungua uwakala wa CRDB, NMB na mitandao ya simu.
Hiyo no fursa sasa hapo unachopaswa ni kuichangamkia na kufungua huduma za uwakala upige pesa.
Tena hapo unafungua uwakala wa CRDB, NMB na mitandao ya simu.