bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
mie hii bank sina hamu nayo nimeomba mkopo wamenisumbua kuhangaikia madocoment nimefika pale kufuata maelekezo zaidi ya mara 3 mwisho nimetimiza anatokea dada analamba midomo ananijibu huku anazungusha kiti na kuniambia atukukopeshi sababu hatujui bishara yako uku anaongea na simu anatongozwa anaitwa lidiya pale sinza nilichukia sana kunisumbua na kupoteza pesa bora angeniambia mapema nisinge sumbuka na kupoteza pesa za maandalizi kuna maafisa ukiomba mkopo kama unaomba pesa ya bule vile ikiwa crdb ndio bank yangu nnyozungushia pesa za biashara nlichukia kudharau muda wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app