Benki ya CRDB yashiriki ufunguzi wa tamasha la Kizimkazi, Zanzibar

Benki ya CRDB yashiriki ufunguzi wa tamasha la Kizimkazi, Zanzibar

Blasio Kachuchu

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
366
Reaction score
243
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Paje, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.

OTMI4979.jpeg


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji CRDB Foundation na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa, wakati alipotembelea banda letu kwenye ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akizungumza na wananchi waliofurika kwa wingi katika viwanja vya Paje, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akiwa pamoja na viongozi wengine wakipiga makofi na kufurahia wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana.


Sehemu ya burudani kutoka kwa watoto wa Shule ya Assalam ya Kizimkazi.





 
Kizimkazi ndio wajanja wanampatia ubize ili waendelee kuila kike y taifa. Atakua hapo kwa zaidi y wiki. Ndio maana napata ukakasi km kweli anaweza kupitia mikataba mwenyewe zaidi y kupewa dokezo kwenye mambo mazito.kula maisha Kizimkazi
 
Back
Top Bottom