Benki ya Dunia Kutoa Msaada wa Shilingi Bilioni 700 Kusaidia Kilimo Cha Umwagiliaji Nchini

Kipindi tunapokea mikopo tuzingatie na huu ujumbe kama nchi.
Hizo ni stori za kujifariji ila kuibuka Kwa economic power nyingi Duniani kumeondoa hicho anachozungumza huyo automatically..

Afrika ya Sasa viwanda vinajengwa na investors wanakuja.
 
Very Good lakini masharti yasiwe magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…