Unachomaanisha ni kwamba Tanzania ilikua inajiweza kwa bajeti yake 100% toka 9/12/1961 mpaka pale tulipovamiwa na amini!!??..huoni Kama unadanganya,unamaanisha mwalimu hakukopa,muungano unetokana na shinikizo la us na uk,wakihofia abdulrahmaan babu(mkomyunist msomi) kuigeuza zenji kuwa Cuba ya Africa,babu akiwa karibu na uchina na akipata msaada,kung'atuka si kutoka kwa hiyari...inatokana na shinikizo la Sina Fulani,baada ya ujamaa kufeli na kuwa tumetoka vitani,hapakua na sehemu ya kupata mikopo/misaada,maana Soviet mwenyewe akihitaji pesa imf,ndiyo tukapewa sharti la sap,kuona hakuna namba mzee aka-oversee sap 1 Kama unavodai,Kisha akakaa pembeni akiwa bado na hamu ya madaraka,ndomana akiutaka uenyekiti wa chama tawala,akampindua kumbe,akamsema Sana mwinyi utawala wake,hii yote ilionesha bdo kuyapenda madaraka Ila ndo hivi hakutaka kugeuka jiwe la chumvi