W Wamabere JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 1,263 Reaction score 703 Mar 4, 2022 #161 Nasikitika na nchi yetu Tanzania hatuna mpango wa kubana matumizi tumerudi kwenye spending spree ya awamu ya nne tukitegemea mikopo
Nasikitika na nchi yetu Tanzania hatuna mpango wa kubana matumizi tumerudi kwenye spending spree ya awamu ya nne tukitegemea mikopo
D Daisam JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 2,625 Reaction score 3,141 Mar 4, 2022 #162 Shida tuliyo nayo sasa ni kwamba, Viongozi wetu wanatumia akili nyingi zaidi kutafuta mikopo badala ya kutumia akili nyingi kuvumbua vyanzo vipya vya mapato.
Shida tuliyo nayo sasa ni kwamba, Viongozi wetu wanatumia akili nyingi zaidi kutafuta mikopo badala ya kutumia akili nyingi kuvumbua vyanzo vipya vya mapato.