Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Acha woga kijana. Kwanza utakuwa umeshakufa. Assumption ni kwamba wote baada ya miaka 100 ijayo hatutakuwepo. Hata anayezaliwa Leo miaka 100 ijayo atakuwa ameshakufa.Denia taifa safari hii !!
Mungu ndiye anaejua kitakachotokea .
Kumbe ulipoaga ulikuwa na malengo fulani?ok pole sanaIt's true, niliaga,
nikaenda, nikajaribu, nikaangukia pua, nikarudisha mrejeshoNimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge
Wanabodi, Mimi mwanabody mwenzenu, nilianza kazi ya media tarehe kama ya leo, miaka 30 iliyopita, hivyo ilipofika tarehe hii siku ya leo, ndio siku yangu rasmi ya kustaafu kazi hii ya media, hivyo sasa nikiisha jiunga rasmi CCM, automatically nitakuwa nimestaafu rasmi uandishi wa habari...www.jamiiforums.com
Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...www.jamiiforums.com
JF ni Naibu, hivyo nimejikuta kwenye uraibu.
P
Masharti ya mkopo yakoje? Tumekopa ajiri ya Nini?This is good news!.
Kazi iendelee.
P
Acha undondochaAcha ujinga, tozo imewekwa kwa ajili ya kuhudumia na kulipia madeni na siyo kama mnavyodanganywa, au unafikiri haya madeni yanalipwa kwa fedha kutokea wapi ?
Sababu zinazotolewa za huo mkopo sikuizi hazieleweki, mara mkopo wa miji flani kuwa ya kijani, kuimalisha udalama wa umiliki ardhi ndio nini?? yaani wanaenda kununua vifaa vya kupimia ardhi, kutengeneza hati au nini???Soma vizuri mkopo kwa ajili ya nini ? “kuimarisha usalama wa umiliki ardhi nchini” hapo kuna uhusiano wa moja kwa moja na uwekezaji na rasilimali zetu.
Huyu raisi wenu siyo kabisa, anyway endeleeni kumuita ” mama” hata kama deep down anawadharau na siajabu hata kuwachukia.
Wewe lizee lipuuzi sana! Kazi yako kulamba watu makalio!This is good news!.
Kazi iendelee.
P
PascalThis is good news!.
Kazi iendelee.
P
Ongeza nyama,kwamba pesa hizo zitatolewa kwa miaka 5 ijayo..
Tanzania na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi nchini.
...
Kwa mjib wa mdee(mb) Lina approach 80tillion, yaana la ndani na nje, maana la nje pekee Ni 68t, hapo hujaongeza hizi za juzi za mama na leo, kiukwel mnada unatuhusu(by ndungai voice) the man was indid correct..
Mkuu Kijakazi you have my respect bila kujali kama uko sahihi au la.Mkopo uko strategic, Mzungu anataka rasilimali, sheria ya Tanzania ya ardhi hairuhusu mgeni kumiliki ardhi hivyo huo mkopo ni kwa ajili ya kusolve hilo tatizo ili Mzungu achukuwe kila kitu kilichoko chini ya ardhi.
Ndugu yetu mzee Pascal Mayalla yuko almost 60yrs bado unamwombea kazi kwenye timu ya waandishi wa habari wa Rais...!!???Ila umewekeza tayari uchaguzi ujao jina linaweza kurudi, naakutabiria kuchaguliwa kwenye team ya waandishi wa habari wa rais.
Anza kwa kujitolea kwanza, unamwandalia mama documentary nzuri unazipeleka hata TBC Akiziona tu anakufikiria
Magufuli alisema hawa huwa wanakopesha kwa vitu vya kijinga sana.
Tanzania na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ....
Sio mcheko...kushoto kulia...mbele nyuma.
Tanzania na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni...
Ok, fine, kwani Kaka Mayala hii Project ya BOOST ni kitu ganiThis is good news!.
Kazi iendelee.
P
We ulitaka yalipwe kwa fedha kutokea wapi!?Acha ujinga, tozo imewekwa kwa ajili ya kuhudumia na kulipia madeni na siyo kama mnavyodanganywa, au unafikiri haya madeni yanalipwa kwa fedha kutokea wapi ?