Benki ya Dunia yaipa Tanzania mkopo wa Tsh Trilioni 1.5

Acha woga kijana. Kwanza utakuwa umeshakufa. Assumption ni kwamba wote baada ya miaka 100 ijayo hatutakuwepo. Hata anayezaliwa Leo miaka 100 ijayo atakuwa ameshakufa...
Kweli hata Mimi naona world Bank inaweza kufa usiku huu huu.....wacha tuchukue tu mkopo[emoji850][emoji850]
 
Ndani ya mwaka mmoja, fedha za mkopo kupitia rais wetu wa sita, natabiri tutakuwa tumesha kopa si chini ya 15t+
 
hii taifa ni ya ajabu sana, yaani baada ya miaka 60 ya uhuru, watu bado wanakopa vijecenti vidogo kaa $650m, nakubuka mkuu wa ceo wakati wa corona katoa toka mfukoni wake $2b us dollars kaa msaada kwa wale waliathiika na corona huko usa, hela yake ya mfukoni sio ya kamupuni, sisi tz hata kaa taifa hatuwezi kuwa na as little as $650m, bado safari ndefu sana
 
Shida ya hao ni mihemko na ujinga ndio unawasumbua..

Waambie Nyerere alipokea Tanganyika ina madeni akakopa ya kutosha tuu nae kamuachia Mwinyi deni kubwa nchi haisongi.

Mwinyi akafungua mipaka akakabidhi kwa MKapa,MKapa nae wazungu wakamfutia mikopo,akakabidhi kwa JK ,JK nae akakopa kiasi akampa Mzilankende.

Mzilankende akakopa kuvunja rekodi ameacha kwa Samia,Samia nae atakopa atalipa na atakabidhi wengine..

Tzn hata nusu ya madeni hatujafika,usipokopa utalipa tozo wewe Ili mambo yaende?

Rais anakopa kuwapunguzia watu mzigo na kuwapa nafasi ya kujipanga vinginevyo aliweka Kodi mtaishia kuwa maskini wa kutupwa.
 
Tunaomba effects za hizo pesa zifike hadi level chini kabisa kwa Mama Lishe fundi Athumani ....mzunguko uwe balanced hali bado tete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…