eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
mkopo ni mkopo ndugu iwe inatoka WB au China au US...actually, you dont have a point
...kisha kama mwenzako hapo alivyosema, mkopo sio jambo la kujivunia unless itatumika vyema..ikitumika kwa manufaa ya wananchi hata kama inafaa ilipwe kwa miaka mitano tu ni sawa kabisa...Finally, Kenya itakapochukua mkopo Geza Ulole et al. hawatakuwa na cha kunena sasa...mwenzao kashajipiga bao...hii ndio inaitwa shooting your own foot![]()
![]()
![]()
Ahaaa haaa haaa
Kasome the difference between concessional loan and commercial/market loans.
Ndo utaelewa tofauti ya KUKOPA World BANK na KUKOPA Export Import Bank ya China.