F FOCAL JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 3,513 Reaction score 5,035 Jun 5, 2024 #21 Manjagata said: Kikubwa mikopo hii itumike vizuri! Ubaya ni pale Mh anapokuwa legelege kusimamia fedha ili zisiishie mifukoni mwa wajanja! Click to expand... Hana uwezo wa kuzisimamia hata kidogo, na usitegemee kama hilo litakuja kutokea. Ni kama hajui au hajali kinachoendelea ndani ya Serikali yake, inasikitisha sana.
Manjagata said: Kikubwa mikopo hii itumike vizuri! Ubaya ni pale Mh anapokuwa legelege kusimamia fedha ili zisiishie mifukoni mwa wajanja! Click to expand... Hana uwezo wa kuzisimamia hata kidogo, na usitegemee kama hilo litakuja kutokea. Ni kama hajui au hajali kinachoendelea ndani ya Serikali yake, inasikitisha sana.