Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea kuimarisha sekta ya nishati nchini

Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea kuimarisha sekta ya nishati nchini

Kikubwa mikopo hii itumike vizuri! Ubaya ni pale Mh anapokuwa legelege kusimamia fedha ili zisiishie mifukoni mwa wajanja!
Hana uwezo wa kuzisimamia hata kidogo, na usitegemee kama hilo litakuja kutokea. Ni kama hajui au hajali kinachoendelea ndani ya Serikali yake, inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom