Benki ya I & M yawapiga mkwara mzito wadeni wake, kusambaza picha na madeni yao kama wakopeshaji mtandaoni

Unaogopa utatolewa kafara?
Mkinga akikukopesha na ukaweka dhamana ya nyumba au kiwanja kwa mfano. Next anakwenda kwa mganga kukuroga usikumbuke kulipa kwenye tarehe mliyopatana ili tu nyumba au kiwanja chako kipotee. Mkopeshaji mkubwa wa namna hii Mbeya ni yule aliyekuwa anamiliki mabasi ya Fitina Jirani
 
Sasa unalialia nini? Yaani unatetea watu waliochukua fedha benki halafu hawataki kulipa? Na defense yako eti privacy?
Inawezekana pia wamekumbwa na changamoto mathalani biashara walizokopea hela zimefeli etc. Kazi ya dhamana ni nini mpaka wawatangaze! Privacy breach si kitu kizuri kwa taasisi makini kama mabenki..
 
Inawezekana pia wamekumbwa na changamoto mathalani biashara walizokopea hela zimefeli etc. Kazi ya dhamana ni nini mpaka wawatangaze! Privacy breach si kitu kizuri kwa taasisi makini kama mabenki..
Kama biashara imepata matatizo nenda kwa Account Manager ukajieleze muweke mkakati wa debt restructuring. Lakini nyinyi mnakopeswa, biashara imeharibika hamuripoti. Mkipigiwa simu hamupokei na sometimes mna block number
 
Benki ya wahindi hio na wanawakopesha wahindi wenzao walipuane tu!
 
Tuoneshe hilo tangazo watu wametangazwa tuone, vinginevyo kalipe deni la watu na sisi tukope
 
Kama biashara imepata matatizo nenda kwa Account Manager ukajieleze muweke mkakati wa debt restructuring. Lakini nyinyi mnakopeswa, biashara imeharibika hamuripoti. Mkipigiwa simu hamupokei na sometimes mna block number

Mtu asipopatikana benki wanao utaratibu wanafanya kulingana na muda gani hajalipa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…