pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,301
- 1,579
Wapandie hukohuko!Achana na kulalamika!Habari za majukumu great thinkers?
Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote.
Hii inaonesha kuna mchezo mchafu unafanyika ndani ya taasisi hii hasa ikizingatiwa kuna ajira zilitangazwa, watu wakaomba na status ya maombi hayo ilikuwa inaonekana kupitia kipengele hicho cha careers.
Wenye mamlaka tusaidieni ili tuweze kupata suluhu ya shida hiyo au kujua shida nini, na kinachoendelea.
Nawasilisha.
Unaweza kuweka screenshot ya website inavyoonekana?Moderators nisaidieni kwenye tittle, ni Benki na siyo Beni.
Awapandie wapi?Wapandie hukohuko!Achana na kulalamika!
Ofisini kwao.Awapandie wapi?
Maombi waliombea ofisini kwao?Ofisini kwao.
Kama haipatikani we unadhani plan B,ni ipi?Au unajitoa ufahamu!Maombi waliombea ofisini kwao?
Plan B ni hili alilofanya.Kama haipatikani we unadhani plan B,ni ipi?Au unajitoa ufahamu!
Hayo ni maoni Yako yaheshiwe na yangu pia yaheshiwe!Atachagua yeye chakufanya nae pia tuheshimu yakePlan B ni hili alilofanya.
ipo vzuri sana hyo benkiHii bank bado ipo?
Mbona ilishakufa?