Nilikuwa safari yangu kuelekea Chato nikasimama mji mdogo wa Katoro nje kidogo ya Geita, nikaenda sehemu kupata huduma ya vitu mbalimbali kisha nikaona nikiapate huduma ya kifedha na mambo mengine katika tawi la NMB KATORO.
Ee bwana wahudumu wa tawi hili costmer care yao ya hovyo sana pia wahudumu wa sehemu hii hawana utaratibu mzuri wa wateja kuhudumiwa kabisa wateja mnalundikwa tu.
Mbaya zaidi wahudumu wa customer care wanaweza kuondoka kwenda kunywa chai zaidi ya saa nzima na kuacha msululu wa wateja wamejipanga.
Meneja wa tawi naye yupo.
NMB Makao makuu mjaribu kuwaboost na kuwakumbusha wajibu wao hawa watu.