uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Duh,ni kero kubwa ,watu itabid waanze kutoa masalio yao yoteusikute ipo mwelekeo wa Twiga bank?? maana kuna habari za mtikisiko wa sekta ya fedha
Thibitisha kama ni uongo mfanyakazi wa tpbAcha uongo
kwani bank ya posta ina tawi moja tuu apa tz!?Hivi Sasa nipo ndani ya Bank ya Posta hapa Azikiwe street Jijini Dar Es salaam Na huduma zinaendelea Kama kawaida
benki ya wazee na wastaafuKaribu wiki ya pili sasa hii benk imekua na tatizo,wazee wanatoka mbali kufuata huduma wanafika wanaambiwa network hakuna,wanajikuta wakikaa masaa mengi sana kusubiria wapate huduma za kifedha,ni kero kubwa,ATM hazitoi Pesa,ndani nako vile vile Pesa haitoki,kila mahali hivyo hivyo.
Inataka moyo kua na akaunti benk ya posta.
Matawi yote shida hiyo hiyokwani bank ya posta ina tawi moja tuu apa tz!?
Heading imezungumzia hitilafu kwenye Tawi la Bank ya Posta Au imezungumzia Bank ya Posta?kwani bank ya posta ina tawi moja tuu apa tz!?
Wanateseka sana wazee ,wengine umri umeenda sana,mpaka wanauchapa usingiz benk wakiwa wasubiriMatawi yote shida hiyo hiyo
dah kuna utata kwamba jamaa kazunguka matawi yote kakuta yana tatizo au ka generalize kutokana na baadhi ya matawi alitombelea.Heading imezungumzia hitilafu kwenye Tawi la Bank ya Posta Au imezungumzia Bank ya Posta?
Rejea kasome heading
upo kanda ipi ya tzMatawi yote shida hiyo hiyo
Juzi nilikua posta dar es salaam nikaona ilo swala siku nzima hakujua na network,nikaenda Kariakoo ndo hivyo hivyo mpaka Tegeta wakasema ni kote,Leo asubuhi Kimara nikasogea mpaka pwani swala ndo ilo ilo imekuja kukubali kuanzia sa tanodah kuna utata kwamba jamaa kazunguka matawi yote kakuta yana tatizo au ka generalize kutokana na baadhi ya matawi alitombelea.
Asubuhi kuanzia sa tatu kulikua hakuna huduma acha ubishi,ilikuja kukubali kama sa tano hivi sehemu nyingine sa nneHivi Sasa nipo ndani ya Bank ya Posta hapa Azikiwe street Jijini Dar Es salaam Na huduma zinaendelea Kama kawaida
Asubuhi kuanzia sa tatu kulikua hakuna huduma acha ubishi,ilikuja kukubali kama sa tano hivi sehemu nyingine sa nne
Muda gani?kuacha ubishi maana yake nisiamini transaction niliyofanya Mwenyewe ndani ya bank nije kuamini Maelezo yanayotolewa Na Mtu asiejulikana kwenye Mitandao?
Ukiweka hela Benki za Serikali au kutegemea services toka Mashirika au Taasisi za Dola ni kichwa cha mwendawazimu...usikute ipo mwelekeo wa Twiga bank?? maana kuna habari za mtikisiko wa sekta ya fedha