uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Karibu wiki ya pili sasa hii benk imekua na tatizo,wazee wanatoka mbali kufuata huduma wanafika wanaambiwa network hakuna,wanajikuta wakikaa masaa mengi sana kusubiria wapate huduma za kifedha,ni kero kubwa,ATM hazitoi Pesa,ndani nako vile vile Pesa haitoki,kila mahali hivyo hivyo.
Inataka moyo kua na akaunti benk ya posta.
Inataka moyo kua na akaunti benk ya posta.