Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wiki iliyopita nilienda Benki ya Posta kuomba mkopo ili nifanye miradi yangu.
Dhamana kuu ni mshahara wangu.
Sasa cha ajabu naambiwa nilete
Nikaondoka mazima.
Dhamana kuu ni mshahara wangu.
Sasa cha ajabu naambiwa nilete
- Picha zangu
- Barua yangu ya mkono
- Nakala ya kitambulisho cha NIDA
- NAKALA YA KITAMBULISHO CHA KAZI.
- Barua ya mwajiri
- Barua ya kuajiriwa
- Barua ya Kuthibitishwa kazini
- Salary slips zenye muhuri
- n.k, n.k
Nikaondoka mazima.