Sio kwamba mabenki mengine ndio yana mambo ya kisasa zaidi !!!, Kupata viambata vya kutosha ni muhimu kuhakikisha hakuna defaulters ukizingatia hii Bongo yetu ya wapigaji na watu wapenda shortcut..., hio yote mkuu ni ya kujilinda na kulinda mali ya wadau wao...