Benki ya Posta mtatoa lini mikopo?

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Posts
7,413
Reaction score
4,020
Nimeomba mkopo wa biashara benki ya posta miezi 2 sasa hakuna jibu, niliomba milioni nane nikaweka nyumba ya m75 nimeidhinishiwa m3, na bado longo longo kibao, system wanadai zimefeli. Hilo linawezekana kwa uendeshaji wa benki ?
 
hivyo wenye benki wanajua kuwa mkopo wa shilingi milioni 3 wenye dhamana ya milioni 75 unachukua Zaidi ya miezi mitatu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…