Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Nimeomba mkopo wa biashara benki ya posta miezi 2 sasa hakuna jibu, niliomba milioni nane nikaweka nyumba ya m75 nimeidhinishiwa m3, na bado longo longo kibao, system wanadai zimefeli. Hilo linawezekana kwa uendeshaji wa benki ?