Benki yaposta nimeibiwa?

Benki yaposta nimeibiwa?

JEHU

New Member
Joined
May 26, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Nilikopa ikabaki miezi 3 nikaongeza mkopo na kulipa ule uliobaki kwa mkopo mpya.makubaliano ilikuwa wasimamishe makato ya zamani au warejeshe hicho kiasi kila mwezi kinapoingia toka hazina.hakuna kilichofanyika.nikiuliza nakemewa kama pepo.nifanyenje?naomba msaada kwenu wana JF
 
Mbona haueleweki!! Uki "top up" mkopo mpya unaofset "principle" ya deni la zamani, balans ndio unachukua
 
Bwana JEHU je unakatwa mara mbili kulipa deni la zamani na jipya? au ulivyo top up walifuta deni la zamani nawewe ukapata cha juu? ni vema ukawa wazi ili upate plan B.Funguka tafadhali.
 
Back
Top Bottom