Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Ataka asitake, tutamlazimisha kama tulivyomlazimisha Magufuli... Akili ya CCM iko sehemu ile ya TP!
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Tanzania tunakwenda vizuri sana,
 
Kazi iendelee
 
Ukiona mabenk yanatengeneza faida za kutisha kama hizi Jua mambo ni sawa sana kiuchumi
 
Hakika kazi inafanyika
 
Kazi ni nzuri sana
 
Matrillioni Yanakopwa..., kwa kukopwa huko matone matone kidogo yanatiririka yanaliwa na Mabenki... Ila cha kusikitisha matone hayo hayafiki kwa wananchi ambao watakuja kulipa hio Mikopo...

Legalized Thievery...
 
Wondere
 
Utakuwa miongoni mwa lile genge si bure
 
Pesa chafu, zilizofichwa, inflow toka nje ruksa, hakuna kuchukngulia accounts, freezone magendo madawa, fake fungulia mbwa pia inafaida zake.
Bora iwe hivyo ili wote tupate, siyo yule aliyekuwa anakwapua mwenyewe na genge lake
 
Sijaelewa hoja yako mkuu, unaoinga au unaunga mkono?
 
Kwa sasa hivi Tanzania political propaganda ziko katika kiwango cha juu sana. Ndiyo maana watu tunasikia taarifa za namba za juu tu bila kuona kitu chochote tangible.
Ili kuona tangible lazima ufanye kazi, ukikalia porojo huwezi kuona tangibo
 
Sijaelewa hoja yako mkuu, unaoinga au unaunga mkono?
Napinga kwamba ni sera za Samia ndio zimeleta hizo faida. Ni mkopo wa BOT mwaka jana ndio umeleta faida.

Yaani 1 trillion ukopeshwe leo alafu faida zikionekana mwezi ujao useme ndio sera za mwezi ujao?? Get real
 
Inawasaidia nini watanzania wanaoumia na riba kubwa za mikopo.
 
Bank zina para faida kubwa kwa kutoza riba kubwa, matokeo ni kuondoa fedha kwa consumer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…