Benki za Biashara Tanzania zinaogelea kwenye faida. Je, nini kimefanyika awamu ya sita?

Maana yake nchi iko vizuri sana,
Maana yake biashara zimefunguka
Maana yake Sera za kiuchumi za awamu ya tano zinalipa,
Maana yake Samia anaupiga mwingi,
Maana yake Tanzania tunakwenda vizuri
Mkuu pamoja na faida hiyo, kwanini hawataki kushusha riba kufikia single digit??

420 B ni super normal profit! na nashawishika kusema, hizi benki zinakamua sana watu wa kipato chini!

Mh, Rais tupia jicho huku kwenye hizi benki za biashara! tunaamini kupitia wewe hizi riba zitashuka walau kufikia riba ya 9.9.
 
Kukua kwa uchumi wa Tanzania kunatokana na Tanzania kutokua na lockdown wakati wa Uviko, pamoja na mikakati imara ambayo hayati JPM alifanya. Huko tunakoelekea hivi sasa ni janga la kitaifa kutokana na maswala ambayo Rais SSH ameshindwa kuyasimamia, kwa mfano umeme kukatika katika bila mpango wowote, vile vile kuwakamua wanyonge kwenye kodi mara mbili mbili tena wale masikini. Takwimu za uhakika tutapata tu huko mbeleni tunakoelekea.
 
Unahoja mkuu
 
Ila wewe jamaa daaah
 
Kaziiendelee
 
Unateseka ukiwa wapi mkuu? 😄😄😄
 
Tuliambiwa matajiri wataishi kama mashetani, aliyesema Mungu akamuwaisha ili awe mkuu wa malaika. Kwa sasa matajiri wamepumua wanaishi kama malaika huku uchumi ukifunguka, tunaona wakina gsm,rostam wanafungua biashara huku tajiri No. 1 MO akipasua anga kuvuta numba katika Africa
 
Mambo ni mazuri sana Tanzania
 
Hakika tanzania mambo sio haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…