Benki za NMB,POSTA na CRDB kutonunua madeni ya wafanyakazi wanaotaka kukopa sio urasimu na kubweteka?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Wakati taasiai nyingi za kifedha zinananunua madeni ya wafanyakazi ili kuwawezesha kukopa katika taasisi zao, benk za NMB,CRDB na Benki ya Posta hazina kabisa utaratibu huo na hivyo kuwafanya watumishi wanaohiji mikopo kushindwa kupata mikopo mpaka ama waljiipie madeni yao au wasubiri mikopo yao iishe ndio waweze kukopa katika hizo Benki(urasimu).

Faida ya kuchukua mikopo katika benki hizo ni kutokana na ukweli kuwa viwango vyao vya riba ni vya nafuu zaidi ukilinganisha na taasisi zingine za kifedha zinazotoa mikopo ambazo sio za kibenki lakini kikwazo ni huo urasimi wao.

Unaweza kuta mtu amebakiza mkopo kidogo tu na anataka kukopa katika hizo benki ila utashindwa kukopeshwa kwasababu ni lazima deni la taasisi nyingine liishe/lilipwe ili aweze kukidhi sheria ya moja ya tatu jambo ambalo lingewezekana iwapo hizi benki zingekubali kumlipa mtumishi deni hilo na hapo hapo wakamkopesha kwa kumpa kiasi kinachobaki baada ya kuwa wamemlipa deni lake la taasisi zingine za kifedha

Kwa mfano,kama unataka kukopa shilingi 10,000 kutoka benki mojawapo kati ya hizo na ili ukopesheke ni lazima kwanza ulipe deni la shilingi milioni 2 la taasisi nyingine iliyokukopesha awali ndio uweze ukopo ila ikitoke umekwama kupata hiyo milioni 2 basi unashindwa kupata mkopo kutoka NMB,CRDB au Benki ya Posta.

Lakini ukienda katika taasisi zingine zinazotoa mikopo wao wanakuchangamkia na deni wanakulipia na kinachobaki kutoka katika mkopo wako wa milioni 10 waliokukopesha yaani shilingi milioni 8 ndio wanakuingizi kwenye akaunti yako kama take home.

Yaani kwa mfano untaka kukopa milioni 10 ila kiasi unatachopewa ni shilingi milioni 8 tu na milioni 2 waliokukata wanaitumia kukulipia deni la benki au taasisi nyingine ya kifedha ili uweze kukopesheka(waweze kukukopesha hiyo milioni 10) na hivyo unakuwa na mkopo wa taasisi moja tu ya kifedha.

Jambo hili NMB,CRDB na Benki ya Posta kwa sasa haliwezekani kwa maelezo wao hawanunui (hawakulipii madeni ya taasisi nyingine) ili wakukopesha unless usubiri deni lako liishe au ulilipe mwenyewe kama unaweza.

Na zamani ilikuwa ni lazima mshahara upite katika benki yao ndio u-qualify kupewa mkopo ila siku hizi kidogo hilo shariti wamelegeza.

Inawezakana urasimu huu ni kwasababu bado vyuma havijakaza kisawasawa ili hali ikiwa tete urasimu huu wa kutoa mikopo kwa wafanyakazi watauacha.

Sijui na hili mpaka mkuu awaombe walitazame upya kama alivyowaomba kushusha riba za mikopo?!
 
nahisi sabab wao wana wateja wengi so wanaringa tofaiti na taasisi ambazo hazina wateja

na pia wanakwepa risk za wafanyakazi wengi wanakopa hela nyingi kisha wanaacha kazi.. na kuiachia benk mikopo chefu chefu
 
Wakati taasiai nyingi za kifedha zinananunua madeni ya wafanyakazi ili kuwawezesha kukopa katika taasisi zao, benk za NMB,CRDB na Benki ya Posta hazina kabisa utaratibu huo na hivyo kuwafanya watumishi wanaohiji mikopo kushindwa kupata mikopo mpaka ama waljiipie madeni yao au wasubiri mikopo yao iishe ndio waweze kukopa katika hizo Benki(urasimu).

Faida ya kuchukua mikopo katika benki hizo ni kutokana na ukweli kuwa viwango vyao vya riba ni vya nafuu zaidi ukilinganisha na taasisi zingine za kifedha zinazotoa mikopo ambazo sio za kibenki lakini kikwazo ni huo urasimi wao.

Unaweza kuta mtu amebakiza mkopo kidogo tu na anataka kukopa katika hizo benki ila utashindwa kukopeshwa kwasababu ni lazima deni la taasisi nyingine liishe/lilipwe ili aweze kukidhi sheria ya moja ya tatu jambo ambalo lingewezekana iwapo hizi benki zingekubali kumlipa mtumishi deni hilo na hapo hapo wakamkopesha kwa kumpa kiasi kinachobaki baada ya kuwa wamemlipa deni lake la taasisi zingine za kifedha

Kwa mfano,kama unataka kukopa shilingi 10,000 kutoka benki mojawapo kati ya hizo na ili ukopesheke ni lazima kwanza ulipe deni la shilingi milioni 2 la taasisi nyingine iliyokukopesha awali ndio uweze ukopo ila ikitoke umekwama kupata hiyo milioni 2 basi unashindwa kupata mkopo kutoka NMB,CRDB au Benki ya Posta.

Lakini ukienda katika taasisi zingine zinazotoa mikopo wao wanakuchangamkia na deni wanakulipia na kinachobaki kutoka katika mkopo wako wa milioni 10 waliokukopesha yaani shilingi milioni 8 ndio wanakuingizi kwenye akaunti yako kama take home.

Yaani kwa mfano untaka kukopa milioni 10 ila kiasi unatachopewa ni shilingi milioni 8 tu na milioni 2 waliokukata wanaitumia kukulipia deni la benki au taasisi nyingine ya kifedha ili uweze kukopesheka(waweze kukukopesha hiyo milioni 10) na hivyo unakuwa na mkopo wa taasisi moja tu ya kifedha.

Jambo hili NMB,CRDB na Benki ya Posta kwa sasa haliwezekani kwa maelezo wao hawanunui(hawakulipii madeni ya taasisi nyingine) ili wakukopesha unless usubiri deni lako liishe au ulilipe mwenyewe kama unaweza.

Inawezakana urasimu huu ni kwasababu bado vyuma havijakaza kisawasawa ili hali ikiwa tete urasimu huu wa kutoa mikopo kwa wafanyakazi watauacha.
Kamanda siyo kila.jambo Ni siasa. Hii mada Ni ya jukwaa la uchumi
 
Kabla ya kupewa mkopo inabidi uwaaililishe uthibitisho wa kipato chako, mikopo yote uliyokopa, matumizi yako kama kodi vya nyumba, na mengineyo hapo Afisa mikopo anatoa matumizi yako yote na nilazima aone una pesa ya kijikimu baada ya kulipa mkopo mpya ndiyo aridhike
 
nahisi sabab wao wana wateja wengi so wanaringa tofaiti na taasisi ambazo hazina wateja

na pia wanakwepa risk za wafanyakazi wengi wanakopa hela nyingi kisha wanaacha kazi.. na kuiachia benk mikopo chefu chefu
Sio sababu ni urasimu wao tu.
 
Kabla ya kupewa mkopo inabidi uwaaililishe uthibitisho wa kipato chako, mikopo yote uliyokopa, matumizi yako kama kodi vya nyumba, na mengineyo hapo Alisa mikopo anatoa matumizi yako yote na nilazima aone una pesa ya kijikimu baada ya kulipa mkopo mpya ndiyo aridhike
Kumbuka hii ni mikopo ya wafanyazi wa umma na wale wa sekta binafsi na si ya wafanyabiashara.
 
Kopa kwa malengo kitendo cha kununua madeni kinaonyesha umefikia kiwango cha mwisho cha madeni
 
Salary Slip mkuu wangu, hivi kwa nini kila kitu tunapenda kulalamika tu? Kama una deni na taasisi fulani kwanini usiende huko huko ukawauzia deni lao kuliko kulipeleka kwenye taasisi nyingine? Mimi ninachoelewa na ninacho uhakika, kama una deni na NMB ukienda tena kukopa unawauzia deni liliobaki wewe unapewa chako kinachobaki. Kama ulivyoelezea hapo juu kama unakopa 10 m na umebakiza 2 m kwenye mkopo wa awali basi jamaa wanakupa mkopo lakini wanakata deni lililobaki hivyo wewe unaondoka na 8 m yako, sasa ubaya hapo uko wapi? Hapo mimi sioni tatizo la hizo benki kama ulivyoanzisha mada yako! Vitu vingine viko sawa tusiwe walalamishi!!
 
Wao serikali ilipohamishia fedha zote za taasisi za serikali benk kuu hawakulalamika?
 
CRDB wananunua utaratibu huu umeanza ijumaa iliyopita ya tarehe 20/04/2018 kwahiyo kama unashida nenda na salary slip ili waangalie unaweza kukopa kias gani na baada ya kulipa deni utabakiwa na kiasi.
 
Mkuu,unachosema ni kweli?

Tawi gani ulijaribu?
 
Kwani umelazimishwa kukopa hapo
Nenda Bank zingine zenye hizo huduma
Ndo maaana ya soko la ushindani
 
NENDA CRDB WANANUNUA MIKOPO YA TAASISI NYINGINE LAZIMA WAANDIKE BARUWA YA KUOMBA TAARIFA YA MKOPO KWENYE BENKI NYINGINE WAKIJIBIWA BASI UNAPEWA CHAKO KINGINE WANALIPA BENKI HUSIKA
 
Back
Top Bottom