Benki za Russia zaanza kupata hasara

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Mnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya 22 ya ulaya yamefuta VISA kwa raia wa Russian yaan mtanywea kombe lenu la vikwazo humohumo kwenu.Chezea mzungu wewe
Chanzo Yahoo word news
(This content was produced in Russia where the law restricts coverage of Russian military operations in Ukraine.)

(Reuters) - Russia's banks lost a combined 1.5 trillion roubles ($24.95 billion) in the first six months of 2022, a top official at Russia's central bank said on Friday in an interview with the RBC business daily.

It is the first time the regulator has disclosed banking sector earnings since Russia sent troops into Ukraine in February
 
Kwa mavukwazo yote hayo,hiyo hasara sio ya kibiashara sio kubwa!
Mahesabu ya west Ilikuwa ni kumaliza kabisa uchumi wa Russia Kwa Miezi 6 ya kwanza tokea vita kuanza!
Baadaye walivyoona vikwazo vina back fire ndio wakasema athari kubwa zaidi zitaonekana baada ya miaka 10!😂🤣
 
Hivi dunia kuna nchi 22 tu. ?????
 
Mwisho wa siku naona watakosa wote tu sasa. Naombea wafumuane ma Nuclear biashara iishe. Na sie tuwaanzishie CCM tuwafurushe maisha yaanze upya 😂😂😂
 
Hakuna anayesema.havina.madhara ila ni kwamba hata walioweka vikwazo nao wanalia kilio cha mbwa maana walidhani wanaikomoa Urussi peke yake
 
Wapi walisema athari zingeonekana baada ya miaka kumi, hiyo labda ni mataifa ya west ya Kilimanjaro na sio west hii tunayoifahamu sisi. Russia walishaanza kulia kitambo.
 
Eni emubi tuwaazime hao rasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…