mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Hakikisha kama unakosa unasababu maalumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekopa nilistukia ninadeni la mil 4.5 japo nilikopa mil3tu ambazo hadi kuiweka mkononi ni sh mil2.7 na ninatakiwa nilipe deni hadi mwaka 2017
nateswa sana na deni hili ushauri wakuu
nimekopa nilistukia ninadeni la mil 4.5 japo nilikopa mil3tu ambazo hadi kuiweka mkononi ni sh mil2.7 na ninatakiwa nilipe deni hadi mwaka 2017
nateswa sana na deni hili
ushauri wakuu
sahihi kabisa mkuu, hasa wanaokopa kulipia mahariThread yako itusaidie wengine tunaotafakari kuchukua mikopo, ili tujue vema yatakayofuata baadaye. Maana uelekeo wa wengi ni kuifurahia tu mikopo bila tafakari ya riba zinavyoongeza deni.
utakuwa umekopa baclayz,jamani kama unataka kukopa fikiri maratatu hata mimi benk hii sitaisahau.Thread yako itusaidie wengine tunaotafakari kuchukua mikopo, ili tujue vema yatakayofuata baadaye. Maana uelekeo wa wengi ni kuifurahia tu mikopo bila tafakari ya riba zinavyoongeza deni.
utakuwa umekopa baclayz,jamani kama unataka kukopa fikiri maratatu hata mimi benk hii sitaisahau.