Benki za Tanzania ni kama Israel wa kuzimu

Benki za Tanzania ni kama Israel wa kuzimu

nimekopa nilistukia ninadeni la mil 4.5 japo nilikopa mil3tu ambazo hadi kuiweka mkononi ni sh mil2.7 na ninatakiwa nilipe deni hadi mwaka 2017
nateswa sana na deni hili ushauri wakuu

Ni vizuri kuuliza kabla ya kuchukua uamuzi ili ufanye maamuzi sahihi, kwa hoja yako inaonesha hakuna ulilikuwa unajua mpaka ulipopata mkopo ulipopata mkopo na kuambiwa unadaiwa sh 4.5 ikiwemo na riba kwa kipindi tajwa, na hiyo laki 3 inawezekana mkataba wa mkopo huruhusiwi kuchukua hela zote za mkopo mpaka zikae kwa muda fulani au vinginevyo.
 
nimekopa nilistukia ninadeni la mil 4.5 japo nilikopa mil3tu ambazo hadi kuiweka mkononi ni sh mil2.7 na ninatakiwa nilipe deni hadi mwaka 2017
nateswa sana na deni hili
ushauri wakuu

Deni linaisha 2017 na sasa ndo 2013 unateseka nini sasa? tena ikiwezekana nenda uwambie wakuongezee mkopo ufike japo milioni kumi.
 
Thread yako itusaidie wengine tunaotafakari kuchukua mikopo, ili tujue vema yatakayofuata baadaye. Maana uelekeo wa wengi ni kuifurahia tu mikopo bila tafakari ya riba zinavyoongeza deni.
 
Thread yako itusaidie wengine tunaotafakari kuchukua mikopo, ili tujue vema yatakayofuata baadaye. Maana uelekeo wa wengi ni kuifurahia tu mikopo bila tafakari ya riba zinavyoongeza deni.
sahihi kabisa mkuu, hasa wanaokopa kulipia mahari
 
Thread yako itusaidie wengine tunaotafakari kuchukua mikopo, ili tujue vema yatakayofuata baadaye. Maana uelekeo wa wengi ni kuifurahia tu mikopo bila tafakari ya riba zinavyoongeza deni.
utakuwa umekopa baclayz,jamani kama unataka kukopa fikiri maratatu hata mimi benk hii sitaisahau.
 
cha kwanza kabla ya kukopa ni muhimu kuomba mchanganuo wa malipo ya mkopo wako kila mwezi,

pili muulize loan officer ni jumla ya sh ngapi utalipa kwenye huo mkopo,

tatu piga mashesabu ya hiyo pesa zidi, angalia kama ina maslahi na huo mkopo wako,
 
utakuwa umekopa baclayz,jamani kama unataka kukopa fikiri maratatu hata mimi benk hii sitaisahau.

Mie nashangaa nyie mnaoumiza kichwa katika kukopa kopeni ili mpate maendeleo mbona serikali ya tanzania inadeni la njee kwa matrillioni na haiumizi kichwa sembuse wewe
 
Huu uzi somo kubwa sana kwa WATANZANIA alikopa NMB huyu. Mtu mmoja alikopa kiasi hichohicho yaani ni kopi and paste
 
Back
Top Bottom