Benki zetu na ugawaji wa mikopo

Benki zetu na ugawaji wa mikopo

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
tumezoea kusikia kwamba benki A huwai kuwawekea mikopo wanafunzi wao kuliko benki B ambayo watu usema mikopo huchelewa sana... je nikweli kunakuwa na hujuma zinafanywa kwa maksudi ili tuwaone hawapo makini katika ufwatiliaji au ni njia tu ya kujitetea??
 
Back
Top Bottom