Benki zimelala watu wanapiga pesa

mkuu ni sehemu yao nini? umekuwa mkali sana. Wakuu wa mikoa mingine waige hawa watu wanamatawi mikoa yote, mikataba haramu mingine mpaka hakimu anahusishwa. nimesoma mahali mkataba hauwezi kuwa halali kama kinachoingiwa mkataba ni haramu.
Hapana ila nimewahi kutafiti na kupata undani wa hiyo biashara.. nawajua wengi sana na nilitaka kujua chanzo cha hao wakopaji na hata wanaokopeshwa mwishoni nikaja gundua wote wako sahihi kwa makubaliano yao..
Kumb. ninadili na microfinance so lazima niweze jua washndani na wanatumia nyia gani.. ingawa nipo ktika nyanja za ulinzi..
 
siyo 2.5m mkuu... kama ni 25m huyo ni kichaa
 
Sijaelewa movie hii
 
Mkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii
Labda mkopo million 1 dollars, liba million 25 Tshs
 
Alikabidhi ATM card na password peke yake una uhakika, au alikabidhi na familia yake na kila kitu, halafu kuna watu wanamwambia asipolipa watauwawa au?!

Maana sijakuelewa umemaanishaje kusema amekopa millioni moja halafu anatakiwa kulipa milioni 25. Hiyo milioni 24 ni riba au adhabu.....sijakuelewa hata kidogo.....hebu rudi kwenye chanzo cha taarifa yako na urejee na habari ya msingi hapa ni sio habari za makisio....
 
Mkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii



Usibishe mkuu..kule bunju mwisho kuna mchungaji m1 wa makanisa ya kilokole anakopesa zaidi ya riba 100.hahahaa..ukikopesha laki 1..unatoa kila siku 12..kwa mwez m1...wamama w bunju sokon wameumizwa sana na huyu mchungaj..mke wake ndo daily unamkuta kitaa anachukua marejesho..niliona uchungu sana...nikawapa maelezo atleast waelewa hata maana ya kukokotoa kidg riba...nashukuru Mungu walielewa..wakamhama..yule mchungaji alaanike .eti ukipewa laki 5 unarudisha milion hahhaaa nyoko zao
 
Hivi vi microfinance vipo sana..vina mahesabu ya ajabu ajabu sana yaan..kuna mwingi e unaweka laki 4 unachukua laki 8 .ila unarudisha 1.2m😅
 
Hiyo kidogo inaweza kuja, Sasa hili la 1m for 25m? Huo mkopo unalipwa kwa miaka mingapi, maana hata ukiwa unalipa laki5 kila mwezi itakuchukua miaka4 na miezi 2 kumaliza huu mkopo?
 
Hiyo kidogo inaweza kuja, Sasa hili la 1m for 25m? Huo mkopo unalipwa kwa miaka mingapi, maana hata ukiwa unalipa laki5 kila mwezi itakuchukua miaka4 na miezi 2 kumaliza huu mkopo?

Naamini ni mzuri kwenye hesabu .haiji hyo
 
Mkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii
Usikatae sababu hayajakukuta, kuna rafk yangu kabisa alishakopa laki 3, na akaishia kulipa Mili1 laki 6, unaambiwa ni riba hyo. Na unavyochelewa kutowalipa ndio riba inavyozidi kuongezeka. Tena na mahabusu hawachelewi kukulaza. Kwakweli hao watu ni wakuangaliwa upya. Vinaitwa Vibanda umiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…