Benki zimelala watu wanapiga pesa

Benki zimelala watu wanapiga pesa

mnapinga vitu ambavyo hamfahamu, iyo ipo nanimeishuhudia. unakuta mfanya biashara anamvizia mfanyakazi wakati wa ku staafu anamkopa 2m kila mwezi shilingi inazaa shilingi kwa mwezi wa kwanza inakua 4m, akipitisha mwezi mwingine ile 4m inazaa inakuwa 8m mwezi wa 3 inakuwa 16m mwezi wa 4 inakuwa 32M

akiona imekuwa kubwa labda 8 au 16 anaanza vitisho vya kumfunga na kumlazimisha wakaandikiane kwa mwanasheria madai ya 8-16m hapo na mahakama kwa kutumia ujanja ujanja wanatambua iyo mikataba.

kuna mambo ya ajabu sana wakuu naona hamuamini ila yapo sana.
 
Sasa atm card ikichukuliwa si unahamisha tu pesa kwa mobile money au unawahi benki na kutoa kwa teller??!!
Hao mateller ndio wanakula na hao wafanyabiashara. Kwahyo wenyew mshahara ukiingia tu, wa kwanza kufahamu ni wao. Hadi wew uje uhamishie kwenye simu unakuwa umeshachelewa..
 
Hivi vi microfinance vipo sana..vina mahesabu ya ajabu ajabu sana yaan..kuna mwingi e unaweka laki 4 unachukua laki 8 .ila unarudisha 1.2m😅
vingine sio taasisi ni watu binafsi serikali imelala sana, wafanyakazi wanadhurumiwa sana.
 
Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Huu mkopo ujambazi. Mama yangu mzazi sitompa password ya ATM card yangu ije kuwa chali tu kwa kunipa mkopo. Aiseee

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mikopo hiyo ipo sana lkn hiyo rate Ni kubwa sana. Yaan buku nirudishe 25elf?

Mikopo ya kihuni ipo migodini...ina riba hadi 80% kwa miezi miwili au mitatu.

Bank wana mambo za ajabu ndo maana wakopeshaji wa uchochoroni ni wengi
 
Hiyo mikopo inatakiwa kupigwa marufuku kwa nguvu zote jamaa Arusha walimkopesha jamaa million tatu walitaka kuuza gari ambayo mkopaji aliingiza kwa 37million ilifika karibu milion kumi naa inatakiwa irudi na wana ndugu ndipo walipoingilia kati huku na huku na fujo zikawatoka 8 million ndio kupata kadi na gari yake hao jamaa ni matapeli sana...na hela zao wanazipitisha wanakojua maana ukopeshaji wao wanatoa hela mkononi ukiwaambia wakuwekee kwenye account ya bank hawataki...
 
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitapeli kwa wananchi.

Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM pamoja na namba ya siri. Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo amekopa shilingi milioni moja na kutakiwa kurudisha milioni 25 na tayari ameshalipa milioni 21
Mimi nahisi alikopa muda mrefu riba ikawa inaongezeka kila mwezi.
 
Mkuu huu uongo, million moja kwa million 25? Nakataa.
Aiseee huu uongo, how? Hata Kama huna akili haiwezi kuingia akilini hii
Labda milioni moja kwa milioni 2.5 hapo ntaelewa maana ndo riba za mitaani
 
vingine sio taasisi ni watu binafsi serikali imelala sana, wafanyakazi wanadhurumiwa sana.
Wewe na hao wanaojiita wafanyakazi ni wajinga ndio maana ya msemo wa wajinga ndio waliwao
Hakuna mtu analazimishwa kwenda kukopa na masharti yako wazi na hizo taasisi zimesajiliwa na kodi zinalipa
Huko ndiko unaweza pata pesa ya shida ya papo kwa papo tofauti na benki na ndio maana mikopo yao haizidi milioni moja na ina high risk ya kudefault thus why riba ni kubwa,mbona mabenki yanawalazimisha wafanyakazi kukopa na kulipa kwa mda mrefu,ukija kufanya hesabu za marejesho umefanyia benki
 
mboga 7 mna matatizo sana nakwambia ni watu binafsi wewe unataka lazimisha iwe taasisi.kwa akili zako kubwa ni wapi inaruhusiwa kushikiria kadi za mteja wapi ukaona m1 inalipwa kwa m25. kuna vitu vingi hivifahamu endelea kuwa kwenye uzio na kula mboga 7 haya mengine mapya kwako
 
Hata iwe mboga kumi,kama hulipiwa deni unategemea kuna hela za bule wapi usopolipa itafika hadi 50mln
 
Hata iwe mboga kumi,kama hulipiwa deni unategemea kuna hela za bule wapi usopolipa itafika hadi 50mln
bado una nafasi kajifunze kuandika ndo uje ubishi,maana mwandiko usha kuonesha wewe ni mtu wa namna gani?
 
mnapinga vitu ambavyo hamfahamu, iyo ipo nanimeishuhudia. unakuta mfanya biashara anamvizia mfanyakazi wakati wa ku staafu anamkopa 2m kila mwezi shilingi inazaa shilingi kwa mwezi wa kwanza inakua 4m, akipitisha mwezi mwingine ile 4m inazaa inakuwa 8m mwezi wa 3 inakuwa 16m mwezi wa 4 inakuwa 32M

akiona imekuwa kubwa labda 8 au 16 anaanza vitisho vya kumfunga na kumlazimisha wakaandikiane kwa mwanasheria madai ya 8-16m hapo na mahakama kwa kutumia ujanja ujanja wanatambua iyo mikataba.

kuna mambo ya ajabu sana wakuu naona hamuamini ila yapo sana.
Kesi Kama hii niliona mtandaoni ilitokea Iringa Kuna mama alikuwa mwalimu mstaafu halaf ni mlemavu wa macho alikopa mil 4 akawa anadaiwa mil 16.
Ikabidi mkuu wa mkoa mh. Ally hapi aingilie Kati ili kumuokoa yule mama ila vinginevyo alikuwa ameshakwama.
Maana alitegemea akipata Mafao yake akalipe deni lkn kwa bahati mbaya kule PSSSF na kwenyewe alizungushwa tu ikawa shida kuipata pesa yake.
 
Back
Top Bottom