zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
mnapinga vitu ambavyo hamfahamu, iyo ipo nanimeishuhudia. unakuta mfanya biashara anamvizia mfanyakazi wakati wa ku staafu anamkopa 2m kila mwezi shilingi inazaa shilingi kwa mwezi wa kwanza inakua 4m, akipitisha mwezi mwingine ile 4m inazaa inakuwa 8m mwezi wa 3 inakuwa 16m mwezi wa 4 inakuwa 32M
akiona imekuwa kubwa labda 8 au 16 anaanza vitisho vya kumfunga na kumlazimisha wakaandikiane kwa mwanasheria madai ya 8-16m hapo na mahakama kwa kutumia ujanja ujanja wanatambua iyo mikataba.
kuna mambo ya ajabu sana wakuu naona hamuamini ila yapo sana.