LegalGentleman
Member
- Oct 26, 2021
- 99
- 294
Tunaziomba Benki kuweka utaratibu uliokuwa bora na sahihi kwenye ATM asa kwa watu ambao watasaidia kuwaelekeza watu ambao hawana uelewa mpana wa matumizi ya ATM.
Nayasema haya kwa maana juzi juzi tu hapa kuna mzee aliingia ATM kutoa ela ila baada ya kuchelewa kutoka kuna kijana alijitokeza kumsaidia sijui imekuaje ila mzee anakuja kusanuka baada ya wiki mbili kaibiwa zake Milioni 20. So imagine kama kungekuwa na watu sahihi wa kumsaidia yule mzee angeibiwa kweli?!.