Baba David
Member
- Jun 21, 2022
- 65
- 103
Naomba wenye kufahamu mnisaidie. Ni benki zipi nikiwa na hati ya nyumba nitapata mkopo? Nilikwenda NMB hawakunisaidia. Natanguliza shukhrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza inategemeana na kiasi cha mkopo na thamani ya nyumba yako. NBC WanachukuaNaomba wenye kufahamu mnisaidie. Ni benki zipi nikiwa na hati ya nyumba nitapata mkopo? Nilikwenda NMB hawakunisaidia. Natanguliza shukhrani
Hiyo ni dhamana tuu je una biashara? Una nyaraka zote za biashara? Una kipato?Naomba wenye kufahamu mnisaidie. Ni benki zipi nikiwa na hati ya nyumba nitapata mkopo? Nilikwenda NMB hawakunisaidia. Natanguliza shukhrani
Bado kuna vingine ni mkopo wa biashara ama wa kuboresha makazi?Kwanza inategemeana na kiasi cha mkopo na thamani ya nyumba yako. NBC Wanachukua
Sahihi kabisaBado kuna vingine ni mkopo wa biashara ama wa kuboresha makazi?
Mkopo wa kwenda kununua nyumbaBado kuna vingine ni mkopo wa biashara ama wa kuboresha makazi?
Marejesho yatatokana na nini?Mkopo wa kwenda kununua nyumba
Kodi za wapangajMarejesho yatatokana na nini?
Kama ni nyumba ya biashara sawa lakini lazima uwe na nyaraka za bisharaKodi za wapangaj
Siku hizi watu wanachukua mikopo mabenki makubwa kwa paper assertsNadhani hamna bank isiyohitaji mali isiyo hamishika kwa wachukuaji mikopo mikubwa
NMB,CRDB tena kwenye Kilimo wanakopesha riba ya 9% mda wa kulipa unakubaliana na Benki.Naomba wenye kufahamu mnisaidie. Ni benki zipi nikiwa na hati ya nyumba nitapata mkopo? Nilikwenda NMB hawakunisaidia. Natanguliza shukhrani
Ukishakuwa na biashara hakika cashflow lazima uwe nayo labda kama biashara ni mpyaNyumba peke yake haifanyi upate mkopo, ni lazima uwe na cash flow ya kueleweka