Benki zipi wanakubali dhamana ya hati ya nyumba kwa ajili ya mkopo?

Benki zipi wanakubali dhamana ya hati ya nyumba kwa ajili ya mkopo?

Nyumba peke yake haifanyi upate mkopo, ni lazima uwe na cash flow ya kueleweka
Mortgage bank, ni nzuri mno maana huwa haziangalii cash flow zenyewe zinajiridhisha zaidi na thamani ya asset, na limit time, given.
 
Back
Top Bottom