Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
hakikaaaaMwaka 2012 kocha Herve Renard akiwa na chipolopolo Zambia iliyokuwa na wengi wa ligi za Africa alichukua AFCON mbele ya vigogo kama Ivory Coast iliyokuwa imejaza mastaa watupu kama Drogba, Toure brothers, Gervinho na wengine. Mastaa wakubwa wa Chipolopolo walikuwa wakichezea TP Mazembe.
Nimetoa huo mfano kuonyesha inawezekana kabisa Kenya kutwaa AFCON. Aache kauli za kujikatisha tamaa. Ni kauli ya hovyo mno toka kwa mtu ambaye taifa zima lina matumaini naye.
Mimi naona bora amekuwa mkweli. Kutoa mfano wa Zambia ya enzi hizo sikubaliani nao. Wale wachezaji waliokuwa TP Mazembe ya wakati huo walikuwa level nyingine.Huwezi ukawalinganisha na wachezaji wa Kenya ya leo. Bora ukweli umemuweka huru kocha.Mwaka 2012 kocha Herve Renard akiwa na chipolopolo Zambia iliyokuwa na wengi wa ligi za Africa alichukua AFCON mbele ya vigogo kama Ivory Coast iliyokuwa imejaza mastaa watupu kama Drogba, Toure brothers, Gervinho na wengine. Mastaa wakubwa wa Chipolopolo walikuwa wakichezea TP Mazembe.
Nimetoa huo mfano kuonyesha inawezekana kabisa Kenya kutwaa AFCON. Aache kauli za kujikatisha tamaa. Ni kauli ya hovyo mno toka kwa mtu ambaye taifa zima lina matumaini naye.
Kauli yake sio sahihi kwa wakati huu. Inashusha moraliMimi naona bora amekuwa mkweli. Kutoa mfano wa Zambia ya enzi hizo sikubaliani nao. Wale wachezaji waliokuwa TP Mazembe ya wakati huo walikuwa level nyingine.Huwezi ukawalinganisha na wachezaji wa Kenya ya leo. Bora ukweli umemuweka huru kocha.
Kabisa, kenya miaka ya nyuma ilikuwa vizuri lakini ya sasa uongoMsema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu
Pale Hakuna Team Kuna Genge Ama Kusanyiko TupuKabisa, kenya miaka ya nyuma ilikuwa vizuri lakini ya sasa uongo
Kweli wewe ni kada, huwa mnapenda kuwapa watu matumaini ambayo hayapo. Sasa HIVI kuwa mwongo ni Moja ya imani ya chama fulani hata kama una swali na kusali LAKINI lazima uukataae ukweliMwaka 2012 kocha Herve Renard akiwa na chipolopolo Zambia iliyokuwa na wengi wa ligi za Africa alichukua AFCON mbele ya vigogo kama Ivory Coast iliyokuwa imejaza mastaa watupu kama Drogba, Toure brothers, Gervinho na wengine. Mastaa wakubwa wa Chipolopolo walikuwa wakichezea TP Mazembe.
Nimetoa huo mfano kuonyesha inawezekana kabisa Kenya kutwaa AFCON. Aache kauli za kujikatisha tamaa. Ni kauli ya hovyo mno toka kwa mtu ambaye taifa zima lina matumaini naye. Anashusha morali ya wachezaji.
Unajua maana ya morali?Kweli wewe ni kada, huwa mnapenda kuwapa watu matumaini ambayo hayapo. Sasa HIVI kuwa mwongo ni Moja ya imani ya chama fulani hata kama una swali na kusali LAKINI lazima uukataae ukweli
Kwanza Musonye bado yupo huko kenya?Pale Hakuna Team Kuna Genge Ama Kusanyiko Tupu
๐๐๐๐jamaa alikuwa Wassira wa CECAFAKwanza Musonye bado yupo huko kenya?
Yule Jamaaa Ameshikilia Kiti Mpaka TumeshangaaKwanza Musonye bado yupo huko kenya?
Kwani Wachezaji waliokuwa TP Mazembe kutoka Zambia walikuwa wangapi> Walikuwa wawili (2) tu (Kalaba na Mwape). Kushinda Kombe inahitaji kujitambua, kujiamini na bidii zaidi kwa Wachezaji ukiongezea na mazingira bora ya timu kama Uongozi na Uwezeshaji.Mimi naona bora amekuwa mkweli. Kutoa mfano wa Zambia ya enzi hizo sikubaliani nao. Wale wachezaji waliokuwa TP Mazembe ya wakati huo walikuwa level nyingine.Huwezi ukawalinganisha na wachezaji wa Kenya ya leo. Bora ukweli umemuweka huru kocha.