Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Endeleeni tu Kunichukulia poa hapa Jamiiforums, ila ninachokijua ni kuwa ni Zawadi ya Maono, Utambuzi na Maarifa kutoka Kwake Mwenyezi Mungu na kila Siku nikisali Asubuhi na Usiku huwa siachi Kumshukuru kwa Tunu hizi za Kutukuka kabisa.My brother GENTAMYCINE alishalisema hili.
Huo uwezo angeuonyesha tangu mwanzo wa ligi sasa hivi mngekuwa mabingwa....huo uwezo anaouonyesha sasa kipindi cha usajili ni danganya totoAisee huyu Benno Kakolanya Leo amenikosha sana kwenye mechi na Mbeya City, ameonyesha uwezo mkubwa sana, kama sio yeye ngoma ingekuwa 3 - 3, kuna makosa ya wazi kabisa yamefanywa na mabeki wa Simba lakini Kakolanya amewaokoa.
Kakolanya ana uwezo wa kuwa kipa namba moja Azam fc endapo Simba watacheza makida makida, tunampenda bure Manula lkn huyu Kakolanya, ni habari nyingine kabisa.