Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Aisee huyu Benno Kakolanya Leo amenikosha sana kwenye mechi na Mbeya City, ameonyesha uwezo mkubwa sana, kama sio yeye ngoma ingekuwa 3 - 3, kuna makosa ya wazi kabisa yamefanywa na mabeki wa Simba lakini Kakolanya amewaokoa.
Kakolanya ana uwezo wa kuwa kipa namba moja Azam fc endapo Simba watacheza makida makida, tunampenda bure Manula lkn huyu Kakolanya, ni habari nyingine kabisa.
Kakolanya ana uwezo wa kuwa kipa namba moja Azam fc endapo Simba watacheza makida makida, tunampenda bure Manula lkn huyu Kakolanya, ni habari nyingine kabisa.