GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia?
Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na Kaondoka kwa Maumivu makubwa Moyoni kwani alichukiwa na Viongozi Wawili kwakuwa tu alikataa kuwapa 10% ya Mshahara wake kisha mkaanza Kumuumiza Kisaikolojia kwa Kumpanga Kipa namba Tatu Ally Salim na Kumuacha Yeye.
Laana yake Beno sasa inatutafuna na GENTAMYCINE nasema kama kuna sehemu ambayo itakuwa na Udhaifu mkubwa kwa Simba SC kwa Msimu huu basi ni eneo la Golikipa la Simba SC labda tu Makipa walioko wawe wanacheza huku wakiwa na Hirizi Golini ila naiona Hatari na tutalaumiana mno.
Hovyo kabisa...!!