Beno alitaka tu Tsh 65M na Mshahara wa Tsh 10M mkakataa, ila Mbrazili mbovu mmempa Tsh 400M na Mshahara wa Tsh 14M

Beno alitaka tu Tsh 65M na Mshahara wa Tsh 10M mkakataa, ila Mbrazili mbovu mmempa Tsh 400M na Mshahara wa Tsh 14M

Umesema ukweli
Leo ndo naona busara zako
Ukituliza kichwa unajenga hoja nzito

Ukiendelea hivi nitakoma kukuita jina lako la popoma
 
Umesema ukweli
Leo ndo naona busara zako
Ukituliza kichwa unajenga hoja nzito

Ukiendelea hivi nitakoma kukuita jina lako la popoma
Hopeless and a Hypocrite at Work.
 
Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia?

Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na Kaondoka kwa Maumivu makubwa Moyoni kwani alichukiwa na Viongozi Wawili kwakuwa tu alikataa kuwapa 10% ya Mshahara wake kisha mkaanza Kumuumiza Kisaikolojia kwa Kumpanga Kipa namba Tatu Ally Salim na Kumuacha Yeye.

Laana yake Beno sasa inatutafuna na GENTAMYCINE nasema kama kuna sehemu ambayo itakuwa na Udhaifu mkubwa kwa Simba SC kwa Msimu huu basi ni eneo la Golikipa la Simba SC labda tu Makipa walioko wawe wanacheza huku wakiwa na Hirizi Golini ila naiona Hatari na tutalaumiana mno.

Hovyo kabisa...!!
Shida haikua hela shida Beno alilizika kuwa namba mbili hakuonyesha kupambana ili ampite manula na kiwango kiliendelea kuwa cha kawaida tuu

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom