Beno David Kakolanya Tanzania one

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kikubwa matokeo Mtani.
 
Ni kipa mzuri aliye kwenye fomu. Bado anasafari ndefu kuwa Tanzania One. Na akiamua anaweza lakini lazima awe a mwendelezo mzuri kwa muda mrefu
 
De Gea alianza hivyo hivyo.Leo anatamani kuondoka Man United. Huwezi kubeba timu kila siku wewe tu.Mwisho mgongo utauma. Msimu uliopita kuna kocha alipiga yowe wapo wengi refa wapo wengi. Ligi ina mechi 38 wajinga wanapima mafanikio mechi 9!!!!!
 
sina ubishi na hilo , huyu peke yake alituzuia lunyasi 11 , sitamsahau .

Aidha, Aussems ametaka kuiboresha safu ya kiungo kwa kutaka aletewe mchezaji mwenye utulivu ambaye ataweza kuwa mnyumbulifu wa kupika mipira na kuwalisha washambuliaji.Alafu CHAMA CHAMA..MKUDE MKUDE..sasa kocha anamleta CHIPS SNACKS
 
Bado mapema sana sana mkusifu Beno.... Tatizo wabongo u yanga usimba unasumbua sana. Na wewe mleta uzi ni shabiki wa yanga tena shabiki mtoto bado.
 
Well said.... Maana muda mwingi mpira unamfikia
 
Sema Yanga one.. sio Tanzania one,
Hivi unamjua Tz one wew kweli?
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kumlinganisha golikipa bora kwa misimu mitatu mfululizo na kipa aliyedaka mechi 7 ni ujinga uliopitiliza.
Lakini ukipenda chongo utasema ni kengeza.
Wishfull thinking ndio mtaji wa maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…