Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂😂😂😂 kikubwa matokeo Mtani.Ukiona katika timu, mchezaji bora wako ni kipa, unatakiwa utambue kua;
1. Beki yako ni mbovu ndo maana mipira mda mwingi ipo kwake
2. Kiungo yako ni mbovu
3. Safu yako ya ushambuliaji nayo ni nyang'anyang'a
Kwa kifupi timu zima ni MBOVUUUU.
cc SokaChat Hajar Prince Kunta na kaka yao Mgagaa na Upwa