Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Hajafanya jambo LA maana kujibu mambo ya mitandaoni, hiyo ni kazi ya meneja wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi gani walicheza asubuhi?huyo mchezaji hajitambui, hata mwandiko na reaction yake vinaonesha uwezo wake kichwanichallenge zipi alizotoa mwandishi hapo. Huyo mwandishi alikuwa anashangaa kwa nini Beno hajapangwa hata mechi ya jana ya kirafiki. Hakujipa hata dk 1 ya kujua chanzo. Mashabiki wakamjibu kuna mechi walicheza asubuhi na yeye alikuwa golini.
Swali la msingi ni kwamba watakaa golini wote wawili? Timu ina wachezaji 28,wacheze wote.
Atavuta mkwanja ndio, ila atasugua benchi kwa miaka miwili kipaji kitakufa.Kama aliyeko bench simba anavuta mpunga wa maana kuliko aliyeko golini Yanga shida iko wapi pesa kwanz mengine badae
Walicheza Simba seniors na Simba B! Beno alidaka ndio mana jion akacheza Manula, hakuna mchezaji aliyecheza asubuh akacheza na ile ya jion ya mlandege.Mechi gani walicheza asubuhi?huyo mchezaji hajitambui, hata mwandiko na reaction yake vinaonesha uwezo wake kichwani
Kwahiyo akiwa anapata nafasi ya kucheza atacheza maisha yake yote? Wewe unajua Beno ana mipango gani maishani mwake?Atavuta mkwanja ndio, ila atasugua benchi kwa miaka miwili kipaji kitakufa.
Mwisho wa siku mkataba ukiisha anakosa timu anaanza kuzurura mtaani
Dogo ni mpuuzi kitambo na hicho nilichokiandika ni sehemu ya udhaifu wake.kutaka kumshambulia personally kunamaanisha anachosema ni sahihi na umekosa hoja za kumjibu.
Naona Shimii hakukuwasha vizuri umehamia kwa David haya subiri Elaity ajue ili mchambane vizuri.uweke picha ili unufaike na nini? punguza umbea p**bav
Kwahiyo akiwa anapata nafasi ya kucheza atacheza maisha yake yote? Wewe unajua Beno ana mipango gani maishani mwake?
Swali jingine:Wewe ukikaa benchi kwa miaka 3 ila mkwanja unaoupata unamzidi mbali mchezaji anayecheza daily kwenye timu X kwa miaka yote mitatu, utaomba uende kwenye hiyo timu X? hayo mambo waliyafanyaga wachezaji wa kizamani ambao walikuwa hawajui hesabu.
Kiwango cha Beno kabla ya kutua Simba kilikua kinaweza kumpeleka mbali kisoka na kumwingingizia fedha nyingi sana, Hakukosea kujiunga Simba kwa wakati ule tatizo kwasasa hapati nafasi na alikua na uwezo mkubwa kuliko Manura.Kwahiyo akiwa anapata nafasi ya kucheza atacheza maisha yake yote? Wewe unajua Beno ana mipango gani maishani mwake?
Swali jingine:Wewe ukikaa benchi kwa miaka 3 ila mkwanja unaoupata unamzidi mbali mchezaji anayecheza daily kwenye timu X kwa miaka yote mitatu, utaomba uende kwenye hiyo timu X? hayo mambo waliyafanyaga wachezaji wa kizamani ambao walikuwa hawajui hesabu.
Juma mahadhi, farouk shikalo( professional player huyu), paul boxer, hawa hamuwaoni ila simba ndio wanaonekana, !! Ushabiki ni tatizo aseAtavuta mkwanja ndio, ila atasugua benchi kwa miaka miwili kipaji kitakufa.
Mwisho wa siku mkataba ukiisha anakosa timu anaanza kuzurura mtaani
Kiwango cha Beno kabla ya kutua Simba kilikua kinaweza kumpeleka mbali kisoka na kumwingingizia fedha nyingi sana, Hakukosea kujiunga Simba kwa wakati ule tatizo kwasasa hapati nafasi na alikua na uwezo mkubwa kuliko Manura.
Anachotakiwa ni kutafuta timu itakayo mfanya aurudishe kiwango chake, Kipaji chake akikifanyia kazi fedha atakayo ingiza ni zaidi ya utajiri wa asset zote za Simba ambazo MO alisema hazi zidi bilioni tatu.
Ukiandika jaribu ku Balance story yako...Mwandishi kawasilisha anachokiamini, lakini binafsi niliyaona makosa ya wacjezaji 2. Beno na Gadiel. Mchaezaji aloyechemka zaidi ni Gadiel maana hakufikiria kabisa anakokwenda anakwenda kuwa nani? Matokeo yake kaacha nyumba yake kaenda kupanga. Beno ni miongoni mwa vipaji halisi vya kitanzania, Lakini ameua kipaji kwa kukosea kuchagua. Najua wazi na nilimsema kocha aliyekuwepo kwamba anakosa sifa moja kubwa ya kuwa "Mlezi", akamkataa mchezaji kwa kosa la kudai haki yake hata kama hakutumia njia sahihi za kistaarabu. Hata hivyo alichokifanya mchezaji ilikuwa kama kuunga juhudi ushabiki wa Simba na Yanga, akakubali kutumika kama chombo cha siasa za mpira. Hakujali yeye atakuwa nani Simba, akakubali kuwa mke wa pili. Tuwapende wachezaji wetu lakini wanapokosea tuwaambie ukweli. Leo De Gea anaweza kwenda Liverpool kuwa msaidizi wa Allison? Hatuoni wenzetu hata nafasi yake uwanjani inaweza kuwa sehemu ya mkataba wake.
Weka Statistics kuonyesha kiwango cha Beno kilikua bora kuliko cha Manura...kinyume na hapo acha kutudanganya.Kiwango cha Beno kabla ya kutua Simba kilikua kinaweza kumpeleka mbali kisoka na kumwingingizia fedha nyingi sana, Hakukosea kujiunga Simba kwa wakati ule tatizo kwasasa hapati nafasi na alikua na uwezo mkubwa kuliko Manura.
Anachotakiwa ni kutafuta timu itakayo mfanya aurudishe kiwango chake, Kipaji chake akikifanyia kazi fedha atakayo ingiza ni zaidi ya utajiri wa asset zote za Simba ambazo MO alisema hazi zidi bilioni tatu.
Kakolanya ..gadiel na ajibu....sikuona sababu ya wao kuondoka yanga..kakolanya alivogombana na kocha ni heri angeenda hata azam au angekomaa abaki yanga
[/QUOTE
Mkuu...ni kweli upon serious kwamba hukuona sababu za wao kuhamia Simba...yaani hukuiona njaa iliyokuwepo Yanga? Hakuna mchezaji mwenye uwezo mkubwa atakaa timu yenye njaa.
Mkuu sins uhakika kama team captain huwa analipwa kuliko wenzie...suala la njaa lilikua ni la timu nzima...wachezaji walikua wanadai..mfano Beno.,Dante umesahau mkasa wa Ngasa? wakati upande wa pili wamekufuata wanalipa vizuri na wamekuja na mkataba mnono pamoja na bonus...tusiwalaumu mkuu badala take tuwatie moyo..mchezaji aliyesemwa miaka nenda rudi "Said Ndemla " mbona sasa anaanza kupata nafasi na National timu anaitwa.Mkuu..mtu kama ajibu alikua na njaa gani yanga..na alipewa unahodha...gadiel nae alikua na njaa gan.....basi tuseme yanga kuna njaa lakini je ilikua sawa kwa wao kwenda simba?..mtu kama ajibu au gadiel kwann wasingeenda hata azam ambako wangeweza kucheza kila wiki.
Kuna watu mna akili maji, hivi ujinga uliouandika wewe si tutafute mwanamke wako tumfedheheshe?Huyu dogo me namjua kitambo kabla hata hajaanza kufanya kazi na Shaffih Dauda.
Ni shabiki wa Yanga na demu wake anaitwa Ela kadem flani kahaya nacho kashabiki ka yanga.
Beno alikuwa hana hata haja ya kumjibu Davi ni dada tu.
Sheria za JF zingekuwa zinaruhusu naweka picha ya kadem chake hapa mcheke sanaa
Beno alikua anaitwa timu ya Taifa akiwa Yanga, katika vitu vinavyo thaminiwa na vinavyo mrahisishia mchezaji kupata timu nje ya nchi pamoja na Mambo mengine ni kucheza timu ya Taifa hasa kwenye uu ukanda wetu wenye Ligi mbovu. Mchezaji yoyote anaye jitambua anayetokea kwenye Ligi yetu ambayo ushindani ni mdogo anatakiwa ahakikishe anafanya juhudi kucheza timu ya Taifa, au mashindano ya vilabu Afrika ili aonekane.Weka Statistics kuonyesha kiwango cha Beno kilikua bora kuliko cha Manura...kinyume na hapo acha kutudanganya.